Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Koffi Olomide aachiwa baada ya kuwekwa kizuizini kwa saa 24
Share
Notification Show More
Latest News
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
February 2, 2023
Mason Greenwood afutiwa mashtaka
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Koffi Olomide aachiwa baada ya kuwekwa kizuizini kwa saa 24
Habari za Mastaa

Koffi Olomide aachiwa baada ya kuwekwa kizuizini kwa saa 24

July 29, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Baada ya Koffi Olomide kukamatwa Jumanne July 26 2016 nyumbani kwake Kinshasa kwa tuhuma za kumshambulia dancer wake wa kike wakati wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata Nairobi na baadaye ikawa imeripotiwa kuwa amehukumiwa kwenda jela miezi 18 na adhabu hiyo kutajwa kuwa haitakuwa na faini.

Taarifa zilizoripotiwa ni kwamba Koffi Olomide kaachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha siku mbili kati ya miezi 18 aliyohukumiwa awali, BBC imeripoti kuwa kuachiwa kwa koffi Olomide kumekuja baada ya Mahakama ya Kinshasa kusema kuwa hawakuona sababu za kutosha za kuhukumiwa kwa Koffi Olomide kutokana na tukio alilofanya JKIA. 

Pamoja na baadhi ya vyombo vya habari Afrika kuripoti kwamba Koffi alihukumiwa kifungo cha miezi 18 jela , Promoter wake wa nchini  Kenya Jules Nsana amekanusha madai hayo  na kusema  kesi dhidi ya Koffi ilikuwa bado iko kwenye uchunguzi na kwamba baada ya uchunguzi wamebaini hakuna ushahidi wa kutosha wa kumtia hatiani Koffi Olomide.

Promoter Jules amesema Olomide alimpigia simu akamtaka aombe msamaha kwa wakenya wote kwa niaba yake…..>>>’Koffi alinipigia mwenyewe baada tu ya kuachiwa na akaniomba niombe msamaha kwa wakenya kwa niaba yake, tumpe siku mbili, tatu atazungumza mwenyewe’ 

 

ULIKOSA HILI KUHUSU KIFO CHA PAPA WEMBA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

You Might Also Like

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

Audiomack yazindua kampeni ya ‘Ngoma juu ya ngoma’ kukuza muziki wa kitanzania

Exclusive: Con boi kafunguka hana mawasiliano na Lunya,Quick Rocka, akumbuka kifo cha mpenzi wake

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

TAGGED: koffi Olomide
Millard Ayo July 29, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Producer Mswaki atangaza kustaafu, hii ndio mipango yake mipya Bongoflevani
Next Article Picha 7: Ilichokiamua Mahakama kuu Tanga kuhusu kesi ya ubunge wa Jumaa Aweso
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
Top Stories February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao

February 3, 2023
Top Stories

Bilioni 3.2 zatolewa kwa Wajasiriamali 16 wa Nishati safi ya kupikia

February 2, 2023
Top Stories

Maombi maalum Sudan Papa Francis afike salama

February 2, 2023
Top Stories

Gharama ya kupunguza uzito kwa puto, madhara yake?, Msechu Kilo 7 zimepungua

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?