Mix

Korea Kaskazini yafanya tena majaribio ya Makombora “yanafika popote Duniani hadi Marekani, Corona hatuna” (+video)

on

Korea ya kaskazini imefanya majaribio mapya ya Makombora kuelekea Bahari ya Japan, Makombora hayo kutoka ardhini kwenda kwenye Meli yalirushwa kwa takribani KM 150 kutokea mji wa Munchon.

“Bado hatuna Mtu yeyote mwenye corona nchini kwetu hadi sasa, Makombora haya yana uwezo wa kutua sehemu yoyote ikiwemo Marekani”-KOREA KASKAZINI

CORONA TANZANIA: VISA VYA CORONA VYAFIKIA 94, WANAOFUATILIWA 1023, WALIOPONA 11

Tupia Comments