AyoTV

VIDEO: Kwa watu wa Mbeya hii sio ya kuikosa ni March 11 2017

on

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dr Tulia Ackson kupitia taasisi yake ya ‘Tulia Trust‘ ameamua kuandaa mashindano ya riadha kwa mara nyingine tena huku zamu hii ikiwa ni kwa wakazi wa Mbeya huku lengo kubwa likiwa ni kuboresha miundombinu ya Elimu na Afya.

Unaambiwa zoezi litafanyika March 11 2017 huku likiwahusisha watu mbalimbali wakiwemo watu wenye ulemavu na wazee ambapo litaanzia katika viwanja vya Sokoine kuanzia saa 12 asubuhi.

Kwenye hii video hapa chini Dr. Tulia ametuelezea mpango mzima utakavyokuwa siku hiyo…

MAGAZETI: Ubunge wa Salma Kikwete gumzo, Magufuli amtia ‘kitanzi’ Muhongo

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments