Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Ripoti ya kipindupindu iliyonifikia leo, hii imegusa kuanzia August 2015.. (+Audio)
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Ripoti ya kipindupindu iliyonifikia leo, hii imegusa kuanzia August 2015.. (+Audio)
Mix

Ripoti ya kipindupindu iliyonifikia leo, hii imegusa kuanzia August 2015.. (+Audio)

December 8, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

Japo headlines za siasa zilionekana kubeba uzito mkubwa miezi michache iliyopita, bado kuna mengine yaliendelea kwenye upande mwingine ikiwemo ishu ya ugonjwa wa kipindupindu ambao umeendelea kuripotiwa kwenye mikoa mbalimbali Tanzania.

Ripoti iliyonifikia leo inaonesha idadi ya wagonjwa waliougua kipindupindu mpaka sasa ni watu 10,412 huku ripoti ikionesha wengine 159 kuwa wamefariki baada ya kuugua… bado kipindupindu kipo, wagonjwa 97 bado wamelazwa katika maeneo mbalimbali.

KIPINDUPINDU II

Taarifa ya habari kituo cha ITV imesema maeneo yanayoongoza kuwa na wagonjwa wengi kwa sasa ni Kyela Mbeya ambako kuna wagonjwa 34, Arusha Mjini wagonjwa 11 na Ilemela Mwanza kuna wagonjwa 7.

Taarifa yote ya Habari ITV hii hapa ikiwa na ripoti yote.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

You Might Also Like

Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023

Gynah ni mwimbaji wa kimataifa kenye usiku wa Kahawa

PICHA: Jerry Muro akabidhi madarasa 29 kwa RC Singida

Samsung wafungua duka lao ndani ya Palm village Mikocheni

Hatimaye Miss Tanzania 2020 akabidhiwa zawadi yake

Millard Ayo December 8, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Utani wa Baba Levo alipopanda Fuso na Msanii Roma Mkatoliki…(+Audio)
Next Article Neymar kashinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa Laliga, ila kaweka rekodi ambayo haiwezi kuvunjwa kamwe …
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?