Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: DC Jokate baada ya kufka Korogwe afunguka “Hakuna uzoefu, ndio mwanzo wa kufukuzwa”
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India
June 3, 2023
Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > DC Jokate baada ya kufka Korogwe afunguka “Hakuna uzoefu, ndio mwanzo wa kufukuzwa”
Top Stories

DC Jokate baada ya kufka Korogwe afunguka “Hakuna uzoefu, ndio mwanzo wa kufukuzwa”

January 30, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Jokate Mwegelo amesema kazi za kuwatumikia Wananchi hazihitaji ujuaji wala Mtu kujifanya mzoefu bali zinahitaji kusikiliza na kudumisha ushirikiano na kusema Mtu akijifanya Mzoefu huwa ndio mwanzo wa kuharibu kazi na Mtu akijifanya Mjuaji ndio mwanzo wa kufukuzwa.

Akiongea leo baada ya kukabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya hiyo Basilla Mwanukuzi, Jokate ameahidi kuendeleza mazuri yaliyoanzishwa na DC Basilla huku akiwaomba Wananchi wampe ushirikiano.

“Dada yangu Basilla niseme Mimi nikuahidi, umenikabidhi hapo yale ambayo umeyafanya ukiwa Korogwe na wewe ulipokea kutoka kwa Dada yetu DC Kissa, yale yote ambayo yana manufaa kwa Wilaya yetu Mimi nitayaendeleza, kikubwa utaendelea kutushauri kama kuna ya msingi yenye manufaa, naamini DC au Kiongozi yoyote akianzisha jambo sio kwa ajili ya manufaa yake binafsi ni kwa manufaa ya Jamii anayoitumikia kwa wakati ule”

You Might Also Like

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

Edwin TZA January 30, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 30, 2023
Next Article DC Ngoma afunguka a-z kuhusu watu watano waliofariki baada ya kunywa dawa ya kuacha pombe
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
Top Stories June 3, 2023
Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?