Mchekeshaji wa miaka 19 Juma Omary Laurent ambaye amekuwa akionekana kwenye show ya uchekeshaji ya ‘Cheka tu’ amefunguka jinsi ambavyo anapambana kuchekesha ili aweze kujisomesha baada ya kufauli kidato cha tano huku nyuma akiwepo mdogo wake anayemtegemea wakati mama yake mzazi akiwa ni mfanya biashara wa mitumba.
Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama JUMA akisimulia.
EXCLUSIVE: Dr Ipyana kaongelea M.40 zilizotumika kwenye Album yake ‘Hata hili litapita”