Michezo

Ilichokiamua Baraza la Michezo baada ya kuchoshwa na hiki “Mambo ya kizamani” (+video)

on

Tunayo stori kutokea Baraza la Michezo Tanzania (BMT) ambapo limetangaza kuachana na mambo ya kizamani hasa ya kupeleka washiriki kwenye mashindano ya Kimataifa kwa sababu ya kujuana.

Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya BMT, Yusuph Singo mbele ya waandishi wa habari kuwa wameacaha na mambo ya kizamani, hivyo wameelekezana ili kwenye michezo ya kimataifa wapeleka watu wanaojimudu.

Kocha wa Simba SC kagoma kuuzungumzia mchezo “Mimi sio kocha wa water Polo”

Soma na hizi

Tupia Comments