Top Stories

Ilichokisema TRA kuhusu mabadiliko Sheria ya Kodi “Tuna kiwango mfuto” (+video)

on

Ikiwa ni Mei 31, 2019 tunayo stori kutokea Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambapo imefafanua na kutoa elimu kuhusu Mabadiliko ya Sheria ya Kodi ikiwemo ya majengo kutokana na kupokea malalamiko kutoka kwa watu mbalimbali.

Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja Elimu kwa Mlipa kodi TRA, Diana Masalla amesema kuna mabadiliko yalifanyia Februari 2019 ambapo utekelezaji ukiwa mgumu inatengezwa sheria ya mabadiliko ambapo kwa sasa wanatoa elimu kuhusu kodi ya majengo kwa kuweka Kiwango Mfuto.

BAADA YA SERIKALI KUPIGA “STOP” MIFUKO YA PLASTIC, JAMAA WAMAIGEUZA KUWA MAFUTA

Soma na hizi

Tupia Comments