Mix

PICHA 15: Viongozi wa serikali walivyoshiriki kuuaga mwili wa Samuel Sitta DSM

on

Leo November 11 Rais John Magufuli ameongoza viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi wa Dar es salaam kutoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Samuel Sitta Karimjee Dar es salaam. Mzee Samwel Sitta alifariki usiku wa kuamkia November 7 katika hospitali ya Technical University of Munich Ujerumani alikokuwa akipatiwa matibabu.

Baada ya kuagwa katika viwanja vya Karimjee, mwili wa Marehemu Samuel John Sitta umesafirishwa kwenda Dodoma ambako Wabunge, Viongozi wa Mkoa na wananchi watapata fursa ya kuuaga katika Viwanja vya Bunge na baadaye jioni utasafirishwa kwenda Tabora ambako maziko yatafanyika kesho Jumamosi huko Urambo.

ww

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Self Ally

sww

Makamu wa Rais mstaafu wa awamu nne, Dkt. Mohammed Gharib Bilal

sss

ssqq

ss

Rais Magufuli

jfjkew

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamini Mkapa

ff

Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete

ere

eeee

aqa

Mama Mjane wa Samuel Sitta, Magret Sitta

3x6a4580

3e

aajkjsf

z

3b

VIDEO:Mtoto wa Mzee Sitta alivyomuelezea baba yake nje ya uongozi wake Serikalini. VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments