Usiku wa June 13 2015 umekua usiku ambao ulitoa matokeo ya tuzo za KILI ambazo hutolewa nchini Tanzania kila mwaka kwa kuwatunuku Mastaa mbalimbali kwenye muziki wa Tanzania huku Bongo Fleva ikichukua nafasi kubwa.
#TZALiveKTMA2015: Mtumbuizaji Bora wa Muziki wa Kiume wa Mwaka- Ali KIBA (Mshindi)
— millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Mtumbuizaji Bora wa Kike wa Mwaka- Vanessa MDEE — millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Mwimbaji Bora wa Kike #BongoFLEVA – Vanessa MDEE
— millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Msanii Bora wa Kiume Taarab- Mzee YUSUPH (Mshindi) — millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Mwimbaji Bora wa Kike Taarab: Isha MASHAUZI (Mshindi)
— millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Mwimbaji Bora wa Kiume Bendi- Jose MARA (Mshindi) — millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Wimbo Bora wa Mwaka wa Taarab- Mapenzi Hayana Dhamana (Isha MASHAUZI- Mshindi)
— millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Wimbo Bora wa Mwaka- ‘Mwana’ (Ali KIBA- Mshindi) — millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Wimbo Bora wa Kiswahili Bendi- ‘Walewale’ (FM Academia)
— millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Wimbo Bora wa R&B- ‘Sisikii’ (JUX -Mshindi) — millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Wimbo Bora wa Hip Hop- Kipi Sijasikia (Prof. JAY- Mshindi)
— millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Wimbo Bora wa Reggae/ Dance Hall- Maua SAMA (Mshindi) — millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015:Rapa Bora wa Mwaka Bendi- FERGUSON (Mshindi)
— millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015:Msanii Bora wa Hip Hop- Joh MAKINI (Mshindi) — millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Wimbo Bora wa Afrika Mashariki- Sauti SOL (Sura Yako)
— millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Mtunzi Bora wa Mwaka Taarab- Mzee Yusuph (Mshindi) — millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Mtunzi Bora wa Mwaka Bongo Fleva- Ali KIBA (Mshindi)
— millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Mtunzi Bora wa Mwaka (Bendi)- Jose MARA — millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Msanii Bora Chipukizi Anayeibukia – Barakah Da Prince
— millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Mtunzi Bora wa Mwaka Hip Hop- Joh MAKINI (Mshindi) — millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Bendi Bora ya Mwaka- FM Academia (Washindi)
— millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Mtayarishaji Bora wa Nyimbo wa Mwaka Bongo Fleva- NAHREEL — millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Mtayarishaji Bora wa Nyimbo wa Mwaka Taarab- ENRICO
— millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Producer Bora wa Nyimbo wa Mwaka Bendi- AMOROSO — millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Wimbo Bora Wenye Vionjo vya Asili ya Kitanzania- Mrisho MPOTO
— millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Kikundi Bora cha Mwaka Taarab- Jahazi Modern Taarab (Washindi) — millard ayo (@millardayo) June 13, 2015
#TZALiveKTMA2015: Kikundi Bora cha Mwaka Bongo Fleva- Yamoto Band (Washindi)
— millard ayo (@millardayo) June 13, 2015