AyoTV

VIDEO: Askari wa magereza walivyoonesha uwezo wao mbele ya Waziri Nchemba

on

Leo January 13  2017 Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba amealikwa kufunga  mafunzo maalum ya kikosi cha jeshi la magereza katika viwanja vya kikosi maalum  cha kutuliza ghasia magerezani kilichopo Ukonga . Askari hao wameonyesha uwezo wao mbele ya Waziri Nchemba…Bonyeza play hapa chini kutazama.

VIDEO: Onyo la Rais Magufuli kwa Magazeti mawili ya Tanzania, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments