Mix

VIDEO: Jamii ya wafugaji kuhusu kauli ya kutaka kupigwa marufuku kutembea na silaha

on

Baada ya maeneo mbalimbali nchini kutokea mapigano kati wakulima na wafugaji na kupelekea wengine kufa. Tamko lilitolewa na Serikalini kuwa wanafikiria kuifuta sheria inayowaruhusu baadhi ya jamii kutembea na silaha za jadi kwa ajili ya kujilinda.

AyoTV na millardayo.com imempata katibu wa wafugaji wilaya ya Pangani mkoani Tanga, Christopher Benedict kaeleza kauli hiyo ya serikali……..

‘Ukiangalia ile silaha sio kwamba tunapenda, ni kwa ajili ya kulinda mifugo ili unapovamiwa na mnyama au majambazi inakuwa rahisi kujitetea, ile mifugo ni sawasawa na benki na benki inalindwa na silaha’

VIDEO: ‘Nilikwepa mawe manne kabla ya kuchomwa mkuki mdomoni’-Augustine Mtitu, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments