Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: U HEARD: Maneno ya Nay wa Mitego kwa Nisha baada ya kufeki mimba
Share
Notification Show More
Latest News
Huyu hapa mbwa aliyevunja rekodi ya Guinness ya umri
February 3, 2023
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > U HEARD: Maneno ya Nay wa Mitego kwa Nisha baada ya kufeki mimba
Mix

U HEARD: Maneno ya Nay wa Mitego kwa Nisha baada ya kufeki mimba

December 22, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Baadaa ya staa wa bongo movie Salma Jabu maarufu Nisha kukaa na Ayo TV katika exclusive interview na kuelezea ukweli kuwa hana mimba bali alidai alikuwa anafikisha sehemu ya ujumbe katika filamu yake ijayo.

Leo December 22 2016 Soudy Brown amezungumza na Nisha akimuomba awaombe msamaha kutokana na kusingizia msanii wa bongo fleva kumpa ujauzito lakini yeye akasema hakumtaja mtu.

Aidha Soudy Brown amezungumza na Nay wa Mitego ambaye Soudy Brown aliwahi kusema ndiye mhusika wa ujauzito wa Nisha…..

‘nimemsamehe sinaga tatizo kabisa na mtoto wa kike, alifanya hivyo labda kuna kitu chake alitaka kitimie, unajua upande wa movie biashara imekufa kabisa ili aendelee kusikika lazima atengeneze kiki, nadhani hiki siyo kitu kigeni tutasikia mengi’ 

You Might Also Like

Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023

Gynah ni mwimbaji wa kimataifa kenye usiku wa Kahawa

PICHA: Jerry Muro akabidhi madarasa 29 kwa RC Singida

Samsung wafungua duka lao ndani ya Palm village Mikocheni

Hatimaye Miss Tanzania 2020 akabidhiwa zawadi yake

TAGGED: U Heard
Edwin Kamugisha TZA December 22, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Rais Magufuli amteua mrithi wa Jaji Lubuva
Next Article Ipokee good news kutoka FIFA kuhusu soka la Tanzania
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Huyu hapa mbwa aliyevunja rekodi ya Guinness ya umri
Top Stories February 3, 2023
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
Top Stories February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023

February 3, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023

February 2, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 2, 2023

February 2, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 1, 2023

February 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?