AyoTV

VIDEO: Kama ulimmiss Enika, Ayo TV imemnasa akiperfom hapa

on

Kama wewe ni mpenzi wa muziki wa BongoFleva Jina la Mrembo Enika litakuwa sio geni kwenye masikio yako alizitengengeza headline kitambo alipotengeza mdundo wa Baridi na aliposhirikikishwa kwenye mdundo wa Nako2Nako ‘Hawatuwezi’.

Ilikuwa December 3 2016 kwenye usiku wa CEO Round table Ayo TV ilimnasa akiiperfom, Bonyeza play hapa chini kutazama.

VIDEO: Chistian Bella kwenye usiku wa CEO Round Table, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments