Ajali

VIDEO: Shuhuda akieleza ajali ya moto Airport DSM usiku wa Jan 12 2017

on

Usiku wa January 12, 2017 kumetokea ajali ya moto kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana, millardayo.com na Ayo TV imempata shuhuda amesimulia ilivyokuwa

‘Tuliona moshi mkubwa giza likawa limezidi kule juu tukashuka chini wote, kinachoendelea huku hatukujua ni nini, tumetoka nje tukaona ni moto hatujui chanzo ni nini’

VIDEO: Ajali ya basi na Lori Kimara Dar, yote yateketea baada ya ajali October 30, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments