Mix

U HEARD: Majibu ya Alikiba kuhusu Jokate kutoonekana Airport kumpokea

on

Kwenye U-heard ya leo March 3 2017 Soudy Brown ametuletea hii inayomhusu Jokate kutoonekana uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ‘JNIA’ kumpokea Ali Kiba alipotua Bongo na tuzo yake akitokea Johannesburg, South Africa na badal aalitokea  kwenye kwenye Dinner aliyoandaa Alikiba.

Soud Brown alizungumza na Jokate lakini hakutaka kujibu na badala yake  Soudy aliinukuu Post aliyoiandika katika ukusara wake wa Instagram……..  

>>Unapotumia siyo nguvu bali akili nyingi kumtengeneza mtu na akafikia mafanikio fulani hivi halafu kitu kingine kikajiweka mbele na kutaka credit zote unasmile kama hivi he he he ukicha waendelee huku ukitafakari maneno kwenye vitabu vitakatifu, wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa  wa kwanza. Maisha ni mzunguko Mungu yu mwema sana”.

Lakini Alikiba naye alipoulizwa na Soudy alijibu………>>> Joketi si amealikwa, alikuwa mgeni mualikwa sijajua kwa sababu gani hakuja Airport siwezi ku-judge sababu huwezijua  labda alighafilika ila sijajisikia vibaya, ushawahi kunisikia mimi naongea kuhusu masuala ya Mapenzi?”

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza full story hapa chini

Ulipitwa na Mapokezi ya Alikiba Dar es salaam akitokea South Africa:(VIDEO)

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments