Waziri wa Mambo ya Nje Dr. Augustine Mahiga amekabidhiwa nakala ya hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uganda nchini Tanzania, Richard Kabonelo katika zoezi lililofanyika Ofisi za Mkuu wa Mkoa Kagera ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika nje ya Dar es Salaam
Balozi mteule wa Uganda nchini Tanzania Richard Kabonelo atakabidhi hati hizo Ikulu kwa Rais Magufuli August 1, 2017 ambapo atajaza nafasi iliyoachwa wazi na Doroth Hyuha aliyemaliza muda wake.
Bonyeza PLAY kwenye video hii kutazama namna Umoja wa Ulaya ulivyoguswa na Maendeleo Tanzania ukatoa hizi Bilioni!!