Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kuanzia Octoba 2021 Radio, TV, Vinyozi (Saloon), wenye Bar na Daladala kulipa mirabaha
Share
Notification Show More
Latest News
Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Kuanzia Octoba 2021 Radio, TV, Vinyozi (Saloon), wenye Bar na Daladala kulipa mirabaha
Habari za Mastaa

Kuanzia Octoba 2021 Radio, TV, Vinyozi (Saloon), wenye Bar na Daladala kulipa mirabaha

August 21, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Chama cha hakimiliki Tanzania (COSOTA) kupitia kwa mwanasheria wake Lupakisyo Mwambinga ameeleza kuwa wanapokea maoni kuhusiana na tozo za mirabaha ya kazi za sanaa ambayo inatazamiwa kuanza kutumika rasmi kuanzia October 2021 na sasa wanakusanya maoni hadi August 24 2021.

Mwambinga ameeleza kuwa wanakusanya maoni kuelekea kuanza kutekelezwa kwa kanuni za kutoza mirabaha (kiasi cha pesa) sehemu za kibiashara ambazo zinatumia kazi za sana kuendesha shughuli zao kama vyombo vya usafiri vya kibiashara.

“Kwenye hizi kanuni kuna maeneo ambayo hayakuwepo mwanzo kama maduka ya madawa ambayo unakuta kuna device za muziki, vituo vya kuuzia mafuta unaenda unakuta vinapiga muziki, Bar, Daladala, Taxi, Barbershop, Saloon nao watachangia mirabaha japo kwa kuanzia viwango vya chini pia, hata kama umeweka radio station kwenye gari ya biashara utapaswa kulipia mirabaha”>>> Mwambinga

 

You Might Also Like

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

Harmonize aibua mapywa, afichua ya Dada wa Diamond, aeleza alivyoshiriki kwenye wimbo huu mpya

Tazama Diamond ‘Sheikh Mansoor’ akiwapokea Watoto wake Airport na Rolls Royce ‘Tiffah na Nillah’

TAGGED: Basata
Edwin TZA August 21, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article PICHA 10:Tumempumzisha salama kijana mwenzetu Nelly TZA Mwanza
Next Article Askofu Gwajima na Jerry Slaa waitwa kamati maadili “Kujibu tuhuma ikiwemo kusema uongo”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Top Stories June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

June 3, 2023
Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?