Top Stories

Picha 21 matukio yote alivyoapishwa Rais Dk.MAGUFULI.

on

Tanzania imeingia kwenye headlines katika vyombo vya habari mbalimbali baada ya kupata rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli aliyeapishwa leo kwenye uwanja wa Taifa

Katika sherehe hizo za kuapishwa kwa rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Marais kutoka nchi mbalimbali walidhuhuria akiwemo, Jacob Zuma, Robert Mugabe, Kenyatta, Paul Kagame, Yoweri Museven

 

Screen Shot 2015-11-05 at 4.14.44 PM

.

Screen Shot 2015-11-05 at 4.14.54 PM

Dk.Magufuli wakati akila kiapo

 

Screen Shot 2015-11-05 at 4.15.06 PM

Bendera ya awamu ya nne wakati inashushwa

 

Screen Shot 2015-11-05 at 4.15.11 PM

.

Screen Shot 2015-11-05 at 4.15.16 PM

Rais anayemaliza muda wake Jakaya Kikwete akikagua gwaride kwa mara ya mwisho

 

Screen Shot 2015-11-05 at 4.15.22 PM

.

Screen Shot 2015-11-05 at 4.15.30 PM

Dk.Magufuli akisaini hati ya kiapo

 

Screen Shot 2015-11-05 at 4.15.35 PM

.

Screen Shot 2015-11-05 at 4.15.41 PM

.

Screen Shot 2015-11-05 at 4.15.53 PM

Dk.Magufuli akikagua Gwaride kwa mara ya kwanza

 

Screen Shot 2015-11-05 at 4.16.01 PM

Marais wa nchi mbalimbali wakiwa na mwenyeji wao Jakaya Kikwete

 

Screen Shot 2015-11-05 at 4.16.10 PM

Kikundi cha ngoma kikitoa burudani kwa wageni waalikwa

 

Screen Shot 2015-11-05 at 4.16.19 PM

Kutoka kushoto ni makamu wa Rais mstaafu Gharib Bilal, Rais wa Rwanda Paul Kagame, Yoweri Museven, Robert Mugabe na Jakaya Kikwete.

 

Screen Shot 2015-11-05 at 4.16.26 PM

.

Screen Shot 2015-11-05 at 4.16.32 PM

Dk.Magufuli akisalimiana na mama Salma Kikwete

 

Screen Shot 2015-11-05 at 4.16.41 PM

.

Screen Shot 2015-11-05 at 4.16.48 PM

Dk.MAGUFULI wakati akitoa hotuba kwa mara ya kwanza akiwa Rais

 

Screen Shot 2015-11-05 at 4.16.54 PM

Wageni waalikwa

 

Screen Shot 2015-11-05 at 4.17.02 PM

.

Screen Shot 2015-11-05 at 4.17.09 PM

.

Screen Shot 2015-11-05 at 4.17.17 PM

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, InstagramnaYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments