Video Mpya

VideoMPYA: Kutana na Becka Title kwenye ‘Torati’ ya Tommy Thommass

By

on

Namsogeza kwako Mwana Hip Hop Tommy Thommass akiwa na kazi mpya ya ‘Torati’  ikiwa imetayarishwa na Mona Gangastar  na ndani ya ngoma hiyo amepata nafasi ya kumpa shavu Becka Title, Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

VIDEO: SHILOLE ALIVYOINGILIA INTERVIEW YA EBITOKE ‘MIMI SIDANGI WAACHE MAJUNGU’

Soma na hizi

Tupia Comments