Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kuelekea Sensa 2022 hamasa yaendelea kutolewa
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
February 2, 2023
Mason Greenwood afutiwa mashtaka
February 2, 2023
Tanzania Ligi namba 5 kwa Ubora Afrika
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Kuelekea Sensa 2022 hamasa yaendelea kutolewa
Top Stories

Kuelekea Sensa 2022 hamasa yaendelea kutolewa

July 31, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Jumamosi Julai 30, Taasisi ya Kizalendo ya Tanzania Patriotic Organization (TPO), imefanya Bonanza Kubwa la kuhamasisha Sensa ya watu na Makazi inayotarajiwa kufanyika Agosti 23, Mwaka huu.

Mwenyekiti wa Taifa wa TPO, Hamad S Juliu ameongoza Bonanza hilo lililofanyika katika viwanja vya Stakishari Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, kwa kushirikiana na viongozi mbalimbali wa Taasisi hiyo.

Mwenyekiti Hamad S. Juliu amewasisitiza wananchi kujitokeza kuhesabiwa ifikapo Agosti 23 Mwaka huu, kwa kuwa Takwimu hizo sensa ndizo zinazo saidia serikali kupanga maendeleo ya nchi.

Pia Mwenyekiti Hamad S Juliu amesema Taasisi hiyo ya Kizalendo, itaendelea kumuunga Mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika jitihada mbalimbali za kukuza uchumi wa nchi, hivyo ndio maana wameamua kumuunga mkono Rais kwa kufanya bonanza hilo.

Aidha mbali na utolewaji wa elimu ya hamasa ya sensa, bonanza hilo lilihusisha michezo mbalimbali ikiwe Mpira wa Miguu, kukimbiza kuku, kubeba mayai kwa kijiko kutumia meno na burudani ya Muziki.

Bonanza hilo lilijumuisha wananchi mbalimbali wa kila rika zaidi ya 300 wakiwemo viongozi wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi(CCM).

You Might Also Like

Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe

Bilioni 3.2 zatolewa kwa Wajasiriamali 16 wa Nishati safi ya kupikia

Maombi maalum Sudan Papa Francis afike salama

Gharama ya kupunguza uzito kwa puto, madhara yake?, Msechu Kilo 7 zimepungua

Wanaorekodi video video za matukio Shuleni waonywa

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA July 31, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Tazama Diamond alivyoibuka kwenye harusi ya shabiki yake nchini Congo, awa gumzo kwa wageni waalikwa
Next Article Rais mpya wa Sri Lanka awaita Wabunge
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
Top Stories February 2, 2023
Mason Greenwood afutiwa mashtaka
Sports February 2, 2023

You Might also Like

Sports

Tanzania Ligi namba 5 kwa Ubora Afrika

February 2, 2023
Sports

Mchezaji mwenye umri mkubwa (55) asaini Ureno

February 2, 2023
Sports

PSG wachukizwa na Chelsea kukwamisha usajili wa Ziyech

February 1, 2023
Sports

Enzo avunja rekodi ya Uingereza usajili

February 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?