Top Stories

Kuelekea Uchaguzi Mkuu, RC Kunenge atoa onyo (+video)

on

Leo October 22, 2020 Mkuu wa Mkoa wa DSM, Aboubakar Kunenge ametoa onyo kwa Watu au Vikundi vya Watu vinavyopanga kufanya fujo Oktoba 28, 2020.

Ameeleza kuwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimejipanga vizuri kuhakikisha Uchaguzi unafanyika kwa amani na usalama.

Soma na hizi

Tupia Comments