Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Njia 5 alizozitaja Paul Makonda kwamba zinatumika kusafirishia dawa za kulevya
Share
Notification Show More
Latest News
Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Njia 5 alizozitaja Paul Makonda kwamba zinatumika kusafirishia dawa za kulevya
Mix

Njia 5 alizozitaja Paul Makonda kwamba zinatumika kusafirishia dawa za kulevya

February 8, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo February 8 2017 amesimama mbele ya Waandishi wa habari kwenye awamu ya pili ya ishu ya dawa za kulevya na kutaja watu mbalimbali wanaotakiwa kufika Polisi Ijumaa kwa ajili ya mahojiano kuhusu ishu za dawa za kulevya.

Kabla ya kuhitaja List hiyo ya wa tu 65, RC Makonda ameeleza njia 5 ambazo zinatumika na wafanyabiashara wa dawa za kulevya, baada ya kufanya utafiti wake…….

  1. Watu wananunua dawa kutoka Pakstani wanakuja na meli, meli inapakia mizigo, meli ikishapaki mzigo wanachukua dawa za kulevya wanaingiza kwenye mifuko kama ya sukari halafu wanapakia kwenye mapipa wanayaingiza kwenye meli, meli zinapokuja zinapokaribia kwenye bandari zetu wanayatupa mapipa hayo yakiwa yamefungwa na GPRS, maeneo wanayoyatupa mapipa hayo ni Zanzibar, Tanga na Bagamoyo. wakishakuja kwenye bandari zetu hawana dawa za kulevya baadye timu inaenda wakiwa na boti wakiwa na mashine zao za kusoma GPRS wananyanyua yale mapipa.
  2. Njia ya magari, mtu ananunua magari Japan lakini hatoki moja kwa moja Japan kuja Tanzania anapita nchi zingine kwa ajili kuweka mzigo,  anafungua baadhi ya sehemu a magari wanaweka dawa za kulevya.
  3. Watu wanafanyabiashara kwenye meli za mafuta, sisi huwa tu tunaangalia mafuta kama yana viwango sasa huwa wanatumia huo mfumo kusafirisha
  4. Kuna watu wana sehemu zao za kupack boti zao hawaingiliwi na mtu, anachokifanya anaenda kuchukua mzigo anasafirisha.
  5. Kuna wanaotoa dawa za kulevya hapa kwa mfano kuna mama ambaye kazi yake ni kusafirisha watoto wa kike anasema anaenda China kununua bidhaa, anasafirisha watoto wa kike wenye umri wa kati, wanapewa dawa wanasafiri nazo wanapewa na Dola 5000 akifanikiwa kuingiza analipwa dola 7,000

Ulikosa? maagizo matatu ya Paul Makonda aliyayatoa Feb 6 2017, Bonyeza play hapa chini

You Might Also Like

Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%

Muuzaji mbolea ajinyakulia pikipiki ya YARA

Dkt. Mpango akasirishwa na alieweka mikono mfukoni wakati wa Wimbo wa Taifa

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 17, 2022

Mwili wa msimamizi wa uchaguzi wakutwa porini

TAGGED: Dar es salaam NEWS, TZA HABARI
Edwin Kamugisha TZA February 8, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Majibu ya RC Makonda kuhusu tuhuma za kuhusishwa na Agnes Masogange
Next Article FULL VIDEO: Awamu ya pili ya Makonda na dawa za kulevya, ajibu pia kuhusu Wema na Masogange
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
Entertainment August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
Entertainment August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
Top Stories August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 18, 2022

August 18, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 16, 2022

August 16, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 15, 2022

August 15, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022

August 14, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?