AyoTV

VIDEO: Makamba na Mkurugenzi wa mazingira Duniani walivyokwenda Ubungo

on

Waziri wa mazingira na muungano January makamba na Mkurugenzi wa umoja wa mataifa anayeshughulikia mazingira duniani walifanya ziara ya kushtukiza kwa kinamama 50 wanaojihusisha na biashara ya kuuza mkaa maeneo ya ubungo Riverside .

Wamejionea hali ya biashara na kutoa ushauri wao hasa wa kuokoa mazingira kwa ukataji wa miti ya kutengenezea mkaa.

VIDEO: Mawaziri wawili wa JPM kuhusu matumizi ya mkaa, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments