Mix

Kuhusu hali ya Michael Schumacher,soma hapa!!!

on

Michael-Schumacher-Is-In-A-Very-Critical3

Meneja wa bingwa zamani wa mashindano ya Formula One Michael Schumacher amewashutumu baadhi ya madaktari wanamtibu mteja wake kwa kile alichokiita ripoti isiyi ya kweli juu ya afya ya dereva huyo .

Schumacher aliripotiwa kuwa kwenye hali mbaya huku maisha yake yakiwa hatarini baada ya kuumia vibaya kwenye ajali iliyotokea kwenye milima ya ufaransa alikokuwa akishiriki mchezo wa kuteleza kwenye barafu .

 Meneja huyo amesema kuwa pamoja na hali ya Schumacher kuwa mbaya lakini haijafikia hatua ya maisha yake kuwa hatarini na anaendelea na matibabu katika hospitali aliyofikishwa.

Tupia Comments