Habari za Mastaa

VIDEO: Meya Darrell atangaza March 14 kama ‘Meek Mill Day’ mjini Philadelphia

on

Fahamu kuwa March 14 ni siku ya ‘Meek Mill Day’ mjini Philadelphia nchini Marekani hii imetangazwa rasmi na meya Darrell Clarke wa mji huo usiku wa March 13,2019.

Rapper Meek Mill amepewa heshima hiyo na mji wake kufuatia mchango wake kwenye kukuza muziki pia marekebisho kwenye sheria za magereza pia Seneta wa mji huo Sharif Street amesema kuwa March 15 hadi 17 itakuwa ni Meek Mill wikiendi, watu watapumzika.

Inaelezwa kuwa Rapper Meek Mill atatumbuiza kwenye mji huo mfululizo siku ya Alhamis na Ijumaa kama sehemu ya ziara yake ya ‘Motivation Tour’ ambayo inatarajia kumalizika March 24,2019 mjini Atlanta.

VIDEO: ASLAY KAFUNGUKA BAADA YA UKIMYA, KAWAJIBU WALIOSEMA KAPOTEA ‘NAFASI YANGU ITABAKI YANGU’

Soma na hizi

Tupia Comments