Michezo

Kujiuzulu kwa Mo Dewji, Kumwembe amtetea, Manara na Mpoki watia neno

on

Mfanyabiashara na muwekezaji wa Simba SC Mo Dewji ambaye anamiliki 49% ya hisa za Simba SC kwa thamani ya Tsh Bilioni 20 leo ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba SC na nafasi yake itachukuliwa na aliyekuwa makamu wake Salim Abdallah (Try Again).

Sasa hapa nimekusogezea ufahamu kile kinachoendelea mitandaoni ambapo Mchambuzi wa Soka Edo Kumwembe amejitokeza kumtetea huku Haji Manara na Mpoki wakaweka comment zao.

BREAKING:MO DEWJI ATANGAZA KUJIUZULU KATIKA NAFASI HII SIMBA SC

Soma na hizi

Tupia Comments