AyoTV

VIDEO: Majibu ya Rais Magufuli kwa wanaosema ni ‘Dikteta’

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Movember 04, 2016 kwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani mwaka mmoja uliopita, amefanya mahojiano na Wahariri na Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Moja ya swali aliloulizwa Rais Magufuli ni kuhusu ya madai kuwa uongozi wake umekuwa ukikandamiza demokrasia na kwamba watu wamekuwa wakikosoa uongozi wake huku wakimuita ‘Dikteta’ haya ni majibu ya Rais Magufuli…..

>>>’kazi yoyote kupongezwa au kukosolewa ni kitu cha kawaida lakini katika muda wote niliochaguliwa sijagandamiza demokrasi bali nimeikuza demokrasia,  hata hapa Dar es salaam kuna maeneo wamechagua CCM  na kuna maeneo wamechagua CHADEMA hii ndio demokrasia demokrasi, tunachofanya ni kulingana na katiba na maadili ya nchi yetu’-JPM

Unaweza ukaangalia video hii hapa chini

ULIKOSA KAULI YA RAIS MAGUFULI KUHUSU MUSWADA WA HUDUMA YA HABARI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments