AyoTV

VIDEO: “Msifanye siasa za kitoto, mnatia uchungu na ni aibu” – Gekul

on

Mbunge wa Babati Mjini Pauline Gekul leo June 22, 2017 alikuwa miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kujadili muswada wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2017 (The Finance Bill Act, 2017) ambapo pamoja na mengine alihoji uhalali wa Serikali kuweka kodi hadi kwa Mama Lishe na Washereheshaji…

VIDEO: Mpango wa Serikali kuhusu Sekta zinazolalamikiwa zaidi na Rushwa 

Soma na hizi

Tupia Comments