Top Stories

Kumbukizi:Magufuli alivyommwagia sifa Samia mbele ya wajumbe ‘Ana heshima hata sura yake nzuri’

on

NI Mwaka 2020 ambapo aliekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt John Bombe Magufuli wakati wa Kampeni kwenye kikao cha CCM kilichofanyika mkoani Dodoma alisimama na kumnadi ama kutoa sifa za Makamu wake Mama Samia Suluhu.

 

TAZAMA RAIS SAMIA ALIVYOFIKA NYUMBANI KWA MAMA JANETH MAGUFULI KUTOA POLE ZA RAMBIRAMBI

Soma na hizi

Tupia Comments