Mix

Kuna hii ya kufahamu kwa Watanzania wanaozalisha mahudhui (Content)

on

Mahalila ni kijana wa Kitanzania aliyeamua kuondoka Tanzania na kwenda China kusoma lakini licha ya kwenda kusoma hiyo haijamfanya kuwa mvivu wa kufikiria na kutoka nje ya Box.

Kwa sasa Mahalila akiwa bado yuko masomoni China ameamua kuanzisha biashara ya kuweka mahudhui (Movies, TV Shows, Music na nk) katika platform yake ya strimtv.com & app.

Lengo kuu la kuanzishwa kwa strimtv.com kuwezesha watu wengi watanzania waishia nje ya nchi kupata vitu vya nyumbani lakini kutangaza vitu vya kitanzania duniani kote kupitia Platform hiyo ambayo itakuwa ni bure kwa mtu kuweka mahudhui yake.

Soma na hizi

Tupia Comments