Top Stories

Kunenge atembelea Shule JPM aliyotoa maagizo (+picha)

on

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Kunenge ametembelea Shule ya Msingi King’ongo kujionea uhalisia jioni hii, baada ya Rais John Magufuli kuwatumia salamu viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam kufuatia kubomoka kwa madarasa ya shule hiyo na wanafunzi kukaa chini

MAGUFULI AMVAA KITILA MKUMBO HADHARANI “NILIKOSEA KUCHAGUA VIONGOZI, KWAKO WANAFUNZI WANAKAA CHINI”

Soma na hizi

Tupia Comments