Magazeti

Kama hukusikiliza Magazeti yakisomwa,hapa kuna dakika 17 za kusikiliza yaliyoandikwa August 05.

on

tablemix2Miongoni mwa stori kubwa katika uchambuzi huu wa leo ni pamoja na lile jibu alilolijibu Rais Jakaya Kikwete kuhusu madai ya Ridhiwan kukamatwa China na dawa za kulevya,hiyo pamoja na mengine yote yanasomwa na kuchambuliwa na PJ.

87.8 Clouds Fm inasikika ukiwa Mbeya.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments