Magazeti

Kuhusu ngoma za Chagulaga kupigwa marufuku na mengine mengi,sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo Aug 15.

on

frqncNgoma za Chagulaga ambazo asili yake ni mikoa ya kanda ya ziwa na hutumiwa zaidi na kabila la Wasukuma leo kwenye magazeti mbalimbali zimeingia kwenye headline ya kupigwa marufuku na kingine ni kutotembea na fimbo kwa wasukuma.

Pamoja na stori zingine kibao ambazo zimechambuliwa na PJ kwenye kipindi cha Power Breakfast,unaweza kusikiliza hapa.

96.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Kahama.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments