Magazeti

Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni hapa.

on

On-Air-620x300 Baada ya kupitia vichwa vya habari vya Magazeti mbalimbali,millardayo.com inakupa nafasi ya kusikiliza uchambuzi wake.ambapo kwa leo yanachambuliwa na Gerald Hando kutoka Power Breakfast sikiliza kupitia 88.4 Clouds Fm Mtwara.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments