Magazeti

Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo March 04.

on

mic2Hizi ni dakika 16 za kusikiliza kilichoandikwa kwenye kurasa mbalimbali za magazeti ya leo March 04 na leo yanachambuliwa na kusomwa na Phillip Mwiyava kupitia Kuperuzi na Kudadisi ndani ya Power Breakfast.

Sikiliza kupitia 89.3 Clouds Fm Kigoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments