Magazeti

Hapa nimekurekodia Magazeti yakisomwa Redioni leo Mei 22.

on

onnnKama ulikua bize au hukua na muda mzuri wa kusikiliza magazeti yakisomwa redioni leo Mei 22 hapa nimekurekodia yoote yakisomwa na kuchambuliwa kwenye kipindi cha Power Breakfast na PJ ni dakika 18 pekee za kusikiliza haya.

89.3 Clouds Fm inasikika ukiwa Kigoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments