Magazeti

Nimekurahisishia kazi kama ulikua mbali na Radio mtu wangu, nimekurekodia magazeti yakisomwa leo.

on

Screen Shot 2014-09-08 at 8.48.24 AMKazi yangu mimi ni kukurahisishia kila kitu kwenye familia ya habari mtu wangu ndio maana nakupa uhuru wa kufanya kila unachoweza au ulichopanga huku ukijua pale unapopata mwanya wa kupumzika utayapata kwangu yote yaliyokupita.

Bonyeza play hapa chini kusikiliza PJ akiyasoma ya leo September 8 kwenye Power Breakfast ya CloudsFM.

88.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tabora.

Tupia Comments