Magazeti

Sikiliza Mbwiga alivyoamua kuperuzi na kudadisi leo Sept 16

on

radio-station-imagingMbwiga Mbwiguke mkali wa Sports Extra ambaye siku hizi pia anasikika kwenye kipindi cha  Power Breakfast,leo ameamua kuvaa viatu vya PJ na kuperuzi na kudadisi akisaidia na Gerald Hando.

98.6 Clouds Fm inasikika ukiwa Tanga.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments