Magazeti

Ni time ya kusikiliza Magazeti yakisomwa na kuchambuliwa Redioni leo Sept 24.

on

on airKuperuzi na kudadisi ni sehemu inayokupa nafasi ya kusikiliza uchambuzi wa Magazeti ambao hufanywa na kipindi cha Power Breakfast kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa hapa yanasomwa na PJ.

104.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Dodoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments