Habari za Mastaa

Isikupite hii ya njia ambayo Quick Rocka huadhimisha Birthday yake

on

Quick Rocka staa kutoka Switch Music Group ‘SMG’ ameweka bayana anavyoadhimisha siku yake ya kuzaliwa akisema kuwa hutoa wimbo na kudai kuwa amekuwa akifanya hivyo tongu alipotoa wimbo wa ‘Bullet’ kiasi miaka 9 iliyopita.

Kupitia XXL ya Clouds FM baada ya kuulizwa na mtangazaji B.dozen kuhusu namna anavyoadhimisha siku ya kuzaliwa, Quick Rocka alisema:>>>“Nina utaratibu fulani, kila siku yangu ya kuzaliwa inapofika, huwa natoa wimbo mpya. Nakumbuka miaka kama 9 nilitoa Bullet.” – Quick Rocka.

VIDEO:Yusuph Mlela ameomba pambano la ngumi na Nay wa Mitego

Soma na hizi

Tupia Comments