AyoTV

VIDEO: Dakika 16 za Rais Magufuli akieleza alichofanya kwa mwaka wake mmoja

on

Wakati Rais Magufuli akitimiza mwaka mmoja tangu aingie madarakani Leo November 04 2016 amekutana na waandishi wa habari  IKULU  Dar es salaam na kujibu maswali mbalimbali, moja ya swali, lililoanza kuulizwa lilimtaka Rais Magufuli kusema namna anavyojitathmini katika mwaka wake mmoja wa uongozi. Rais Magufuli amejibu…

>>>Umeniuliza swali gumu, ni vizuri watu kukutathmini kuliko kuliko wewe mwenyewe kujitathimini, nilipokuwa nimechaguliwa yapo tuliyokuwa tumeyaahidi, nilitoa hotuba ya kwanza bungeni nilisema nataka kuwa na serikali ya hapa kazi tu, kila mtu afanye kazi, nahisi nimetimiza hayo

Soma na hizi

Tupia Comments