AyoTV

VIDEO: Hemed PHD azungumzia kudaiwa kutumia dawa za kulevya

on

Baada ya hivi karibuni kusambaa kwa post kwenye mitandao ya kijamii ikitaja baadhi ya wasanii wa Bongo wanaotumia dawa za kulevya, miongoni mwa wasanii waliotajwa ni pamoja na Hemedy Suleiman.

AyoTV na millardayo.com imempata Hemedy Suleiman kuzugumzia madai hayo……>>>‘Nilipoiona hiyo post nilicheka kwa sababu mimi naujua ukweli, ila nilimfikiria zaidi mama yangu mzazi akisikia hizo habari itakuaje, na kweli alinipigia huku amepanic lakini ukweli ni kwamba mimi si mtumiaji wa dawa za kulevya’

AyoTVMAGAZETI: Panga kufyeka wengine TANESCO, Sababu tatu za ukame wanafunzi shule binafsi, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments