Top Stories

Kutana na Beatrice, Muuza keki mwenye masters zake 2

on

Kutana na Mrembo Beatrice Festo Moshi ambae anaingia kwenye orodha ya Malkia wa nguvu Wasomi waliothubutu na kufanya vitu ambavyo hawakuvisomea baada ya kukosa kazi kama alivyotarajia.

Beatrice ambae ni Mmiliki wa Sweetnice Bakery hakuringia au kubweteka na Masters zake mbili alizozipata India ni miongoni mwa Watanzania waliotumia bundle lao vizuri na kujifunza kupitia YouTube baada ya kukutana na ugumu wa ajira, mtazame zaidi kwenye hii video hapa chini

MREMBO AMESOMA MASTERS MAREKANI ILA ANAUZA MAKANDE MWANZA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments