Top Stories

Kutana na Jamaa aliyechora tattoo yenye sura ya Rais Samia (video+)

on

Kutana na Ernest maarufu kama The smile ni kijana ambae ameamua kuchora tattoo yenye sura ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika paji lake la uso.

Ernest anasema ametumia shilingi laki mbili na nusu kwaajili ya kuchora tattoo hiyo ambayo ilimchukua zaidi ya masaa nane kuichora.

 

Tupia Comments