Top Stories

Kutana na Mwalimu anayeuza Mishikaki baada ya kufundisha “elfu 80 kwa siku”

on

Wanasema siku zote mshahara hauwezi kutosha hivyo sio jambo jipya kukuta Mtu anapiga kazi zaidi ya moja kama Mwalimu Josephat wa Mtwara maarufu kama Mwalimu Maprosoo ambaye ameamua kuuza mishikaki kila jioni baada ya kumaliza kazi ya kufundisha Wanafunzi wa Shule ya Msingi, bonyeza play hapa chini kumtazama mwanzo mwisho.

MAAJABU: DUKA LISILO NA MLANGO WA MBAO WALA WA CHUMA NA HAKUNA ANAYETHUBUTU KUDOKOA HATA KIBIRITI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA MMILIKI AKIFUNGUKA

Soma na hizi

Tupia Comments