Top Stories

Kutoka nyumbani kwa Anna Mghwira, fahamu chanzo cha kifo chake (video+)

on

Hellen Mghwira ambae ni mdogo wa marehemu Anna Mghwira amesema dada yake aliugua siku ya Jumatano ya wiki iliyopita nakupelekwa kwenye hospitali ya Nkoaranga na baada ya hali yake kubadilika alipelekwa kwenye hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Arusha ambapo leo hali yake ilibadilika ghafla kisha kupelekwa kwenye chumba cha ICU baada ya nusu saa wakapata taarifa za kifo chake.

“Alikuwa hasikii hamu ya kula,lakini ghafla leo hali ikabadilika akawa hataki kupumua kwa oxygen akaomba madaktari wamtolee nakusema amechoka kwa kweli alikuwa anasema ana nguvu na hakuonyesha dalili zozote zakufariki”-Hellen Dada wa Anna Mghwira

RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA YA ANNA MGHWIRA

 

Soma na hizi

Tupia Comments