Mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya soka Edo Kumwembe ni miongoni mwa watanzania walioko Tunsia kwa ajili ya kutazama game ya Tanzania dhidi ya Libya ya kuwania kufuzu kucheza AFCON 2021 nchini Cameroon, mchezo huo wa pili kwa timu zote Tanzania ikiwa imetoka na ushindi mechi yake ya kwanza wakati Tunisia ikiwa imepoteza kwa kufungwa 4-1, Edo Kumwembe anatupa tathmini ya mchezo huo kutokea Tunisia.
VIDEO: BONDIA ARNEL TINAMPAY NAMBA 2 KWA UBORA PHILIPINE BAADA YA MANNY PACQUIAO KATUA DSM