Mix

PICHA 6: Rais Magufuli alivyomtembelea mkewe mama Janeth Hospitalini Muhimbili

on

Leo November 10 2016 Rais Magufuli amewatembelea na kuwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika wodi ya Sewahaji iliyopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam wakiwemo Waziri na Balozi Mstaafu wa Tanzania Omar Ramadhan Mapuri na Mkewe Mama Janeth Magufuli.

magu-mke2

Rais Magufuli na Waziri na Balozi Mstaafu wa Tanzania Omar Ramadhan Mapuri

img-20161110-wa0012

Rais Magufuli na Mkewe mama Janeth Magufuli

magu-mke3 magu-mke4 magu-mke5

magu-mke6

Rais Magufuli na baadhi ya madaktari na wauguzi kwenye wodi ya Sewa Haji

VIDEO: Ulipofikia utekelezaji wa maagizo ya Rais Magufuli hospitali ya Muhimbili. ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments