AyoTV

VIDEO: Swali la Mwita Waitara kwa Waziri mkuu Majaliwa bungeni April 28 2016

on

Mkutano wa tatu, kikao cha sita umeendelea tena leo April 28 2016 bungeni Dodoma, Katika kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu Mbunge wa Ukonga, Dar es salaam Mwita Waitara kamuuliza swali Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu barabara zisizo na kiwango na kusababisha mafuriko katika kipindi cha mvua.

Waziri Mkuu Majaliwa katolea ufafanuzi kwenye hii Video hapa chini..

ZITTO KABWE KUHUSU BAJETI IJAYO YA SERIKALI TZ ‘HATUKUTEGEMEA HIVYO AWAMU YA TANO?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments